Yanga yaichimba mkwara Mamelodi: Ni Suala la muda tu kupandisha mnara hatutanii

Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Yanga yaichimba mkwara Mamelodi: Ni Suala la muda tu kupandisha mnara hatutanii

 Kuelekea mchezo wao robo fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns, jana Klabu ya Yanga ilizindua hamasa zake katika Makao Makuu ya Klabu hiyo, Jangwani, jijini Dar es Salaam ambapo mitaa ya Kariakoo yote ilitikisika.


Mchezo huo ambao ni maalum kwa kiungo wao, Mudathir Yahya ukiwa na kauli mbiu isemayo ‘SIMU ZIITE, TUKUTANE KWA MKAPA’, utachezwa Machi 30, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments